Yohana 13:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nawahakikishia kuwa mtu anayemkubali na kumpokea ye yote ninayemtuma, ananipokea mimi. Na mtu anayenikubali na kunipokea, anampokea Baba yangu ambaye amenituma.”

Yesu Anatabiri Kuwa Yuda Atamsaliti