Yohana 13:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninawaambia hakika, mtumishi hawezi kuwa mkuu kuliko bwana wake; wala anayetumwa hawezi kuwa mkuu kuliko aliyemtuma.