Yohana 13:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo ikiwa mimi niliye Bwana wenu na Mwalimu wenu nimewaosha miguu, ninyi pia hamna budi kuoshana miguu.