Yohana 12:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akajibu, “Msimsumbue! Mwacheni ayaweke manukato hayo kwa ajili ya siku ya kifo changu.