Yohana 12:49

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sikusema mambo haya kwa mamlaka yangu mwenyewe. Bali Baba yangu aliyeni tuma amenipa amri kuhusu mambo ninayosema na kutamka.