Yohana 12:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu anayesikia maneno yangu asiyatii, simhukumu; kwa maana sikuja ulimwenguni kuhukumu bali kuokoa.