Yohana 12:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Umati wa watu uliposikia sauti hii, baadhi walidhani ilikuwa ni sauti ya radi, na wengine wakasema, “Malaika alikuwa anaongea naye.”