Yakobo 4:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini yeye anatupatia neema zaidi, ndio maana Maandiko husema, “Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa neema wanyenyekevu.”