Yakobo 4:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ni kitu gani kinachosababisha vita na ugomvi miongoni mwenu? Je, si tamaa zenu zinazopingana ndani yenu?