Yakobo 3:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kadhalika meli, ingawa ni kubwa sana na huendeshwa na upepo mkali, lakini huongozwa na usukani mdogo sana, ikaenda ko kote anakotaka nahodha.