Yakobo 3:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini ikiwa mna wivu wenye chuki na kufikiria mno maslahi yenu binafsi, msiji sifie hayo wala kuikataa kweli.