Yakobo 3:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, ndugu zangu, mtini waweza kuzaa zeituni, au mzabibu waweza kuzaa tini? Pia haiwezekani chemchemi ya chumvi kutoa maji matamu.

Aina Mbili Za Hekima