Yakobo 3:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu, wengi wenu msiwe walimu, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi.