Yakobo 2:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini ninyi mmemvunjia heshima aliye fukara. Je, si matajiri ndio wanaowagandamiza na kuwapelekeni mahakamani?