Yakobo 2:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hali kadhalika Rahabu, yule kahaba, yeye je, hakuhesabiwa haki kwa matendo yake alipowapokea wapelelezi na kuwaambia waende njia nyingine?