Yakobo 2:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mtu ye yote anayetimiza sheria yote isipokuwa akashindwa kutimiza sehemu moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote.