Yakobo 2:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu wapendwa, msiwe na upendeleo mnapoishika imani ya Bwana wetu Yesu Kristo, Bwana wa utukufu.