Yakobo 1:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini aombe kwa imani pasipo shaka yo yote; maana mwenye mashaka ni kama wimbi la bahari ambalo husu kumwa na upepo, likitupwa huku na huku.