Yakobo 1:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha tamaa hiyo ikisha chukua mimba, huzaa dhambi; na dhambi ikisha komaa, huzaa mauti.