Yakobo 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Amebarikiwa mtu ambaye anavumilia majaribu, kwa sababu akisha stahimili atapewa taji ya uzima ambayo Mungu amewaahidi wale wampendao.