Warumi 9:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia mtu ye yote apendaye kumhurumia na huufanya mgumu moyo wa mtu ye yote atakaye.