Warumi 9:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana Mungu alimwambia Musa, “Nitamrehemu nipendaye kumrehemu; na nitamhurumia nipendaye kumhurumia.”