Warumi 8:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mkiishi kama mwili unavyotaka mta kufa,lakini kama mkiangamiza matendo ya mwili kwa nguvu ya Roho, mtaishi.