Warumi 7:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini dhambi ilipata nafasi katika amri hii ikazaa ndani yangu kila aina ya tamaa. Kwa maana pasipo sheria, dhambi ime kufa.