Warumi 7:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunafahamu kwamba sheria ni ya kiroho. Lakini mimi si wa kiroho; mimi nimeuzwa utumwani, ni mtumwa wa dhambi.