Warumi 7:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo sheria yenyewe ni takatifu na amri ni takatifu, na ya haki, tena ni njema.