Warumi 6:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mlipata faida gani kwa mambo hayo ambayo sasa mnayaonea aibu? Mwisho wa mambo hayo ni kifo.