Warumi 6:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mungu ashukuriwe kwa kuwa ninyi ambao mlikuwa watumwa wa dhambi mmetii kwa moyo wote mafundi sho mliyopewa.