Warumi 6:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, msiruhusu dhambi itawale ndani ya miili yenu, ambayo ni ya muda, iwafanye mzifuate tamaa za mwili.