Warumi 4:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Abrahamu hakuacha kuamini wala hakuwa na mashaka juu ya ahadi ya Mungu. Imani yake ilimtia nguvu, akamtukuza Mungu,