Warumi 4:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa Abrahamu alihesabiwa haki kwa matendo, basi anacho kitu cha kujivunia, lakini si mbele za Mungu.