Warumi 4:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa wafuatao sheria tu ndio wata kaopewa urithi ulioahidiwa na Mungu, basi imani si kitu na ahadi hiyo haina thamani.