Warumi 3:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, ina maana kwamba tunaifuta sheria kwa imani hii? La, sivyo. Kiny ume chake: tunaithibitisha sheria.