Warumi 3:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana tunasisitiza kwamba mwanadamu anahesabiwa haki kwa njia ya imani na wala si kwa kutenda maagizo ya sheria.