Warumi 3:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Haki hii itokayo kwa Mungu hupatikana kwa kumwaminiYesu Kristo. Mungu huwatendea hivi watu wote wamwa minio Kristo pasipo kubagua,