Warumi 3:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Makoo yao ni kama makaburi wazi, wanatumia ndimi zao kudanganya. Kwenye midomo yao mnasumu kama ya nyoka.