Warumi 2:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kutahiriwa kuna thamani tu iwapo unatii sheria, lakini kama unavunja sheria, umekuwa kama hukutahiriwa.