Warumi 2:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na wewe je? Wewe unayejiita Myahudi: unaitegemea sheria ya Musa na kujisifia uhusiano wako na Mungu;