Warumi 2:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wote watendao mema; Wayahudi kwanza na kisha watu wa mataifa mengine.