Warumi 16:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu. Mimi ninawashukuru wao; na si mimi tu bali pia makanisa yote ya watu wa mataifa mengine.