Warumi 16:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Napenda kumtambulisha kwenu dada yetu Foibe ambaye ni mtumishi katika Kanisa la Kenkrea.