Warumi 14:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana hakuna hata mmoja wetu anayeishi kwa ajili yake mwenyewe na wala hakuna hata mmoja wetu anayekufa kwa ajili yake mwenyewe.