Warumi 14:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mtu ye yote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na anakubaliwa na wanadamu.