Warumi 14:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, tuache kuhukumiana. Badala yake tuamue kuwa hatu tamkwaza ndugu kwa kitu cho chote.