Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Warumi 12:6
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tumepewa vipawa tofauti kulingana na neema tuliy opokea kutoka kwa Mungu. Kama mtu ana kipawa cha kutoa unabii basi akitumie kulingana na imani yake.
Read full chapter →
Compare all translations →