Warumi 12:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Muwe na furaha katika tumaini lenu, na katika dhiki muwe na subira. Ombeni wakati wote.