Warumi 11:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na Mungu alimjibuje? “Nime bakiza kwa ajili yangu watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”