Wakolosai 4:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tikiko atawaelezeeni habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana.