Wakolosai 4:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkiutumia wakati wenu vizuri.