Wakolosai 4:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pia tuom beeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango tupate kutoa ujumbe wetu na kuitangaza siri ya Kristo ambayo kwa ajili yake mimi nimefungwa gerezani.